RC Akiapishwa

Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mhe. Mrisho Gambo.

Ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania

Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Ofisini kwake, Jijini Arusha.

JPM ,Mrisho Gambo Picha ya Pamoja

Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

Samia Suluhu Hassan akiwasili Jijini Arusha

Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe Mrisho Gambo Akimpokea Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Picha ya Pamoja

Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Friday, July 8, 2016

zawadi za idd eil fitri zakabidhiwa kwa maabusu ya watoto.

Katibu Tawala wa Mkoa Richard Kwitega,akimkabidhi zawadi ya Idd Eil Fitri kwa niaba ya Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania ,afisa ustawi wa jamii  wa maabusu ya watoto wadogo cha jijini Arusha bwana Musa Mukamate.
Afisa Ustawi wa Jamii wa maabusu ya watoto,Bwana Musa Mukamate akitoa historia fupi ya kituo hicho kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,Richard Kwitega alipowakabidhi zawadi za Idd Eil Fitri.