Taarifa ya Mkuu wa Mkoa Arusha katika kipindi cha TUNATEKELEZA.
RC Akiapishwa
Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mhe. Mrisho Gambo.
Ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania
Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Ofisini kwake, Jijini Arusha.
JPM ,Mrisho Gambo Picha ya Pamoja
Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Samia Suluhu Hassan akiwasili Jijini Arusha
Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe Mrisho Gambo Akimpokea Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Picha ya Pamoja
Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Showing posts with label Dini. Show all posts
Showing posts with label Dini. Show all posts
Friday, April 27, 2018
Friday, September 16, 2016
MKUU WA MKOA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UTUME WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
![]() |
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(katikati) akiongozwa na vijana wa
Skauti kwenda kukagua mabanda ya taasisi za kanisa la waadventista wa Sabato
Tanzania
|
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akikagua mabanda yenye vitabu na majarida mbalimbali yanayochapishwa na taasisi za kanisa la wasabato Tanzania,kushoto ni Mchungaji Eliasi Ijiko. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akisoma hotuba yake kwa viongozi na waumini wa waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato. |
Friday, July 8, 2016
zawadi za idd eil fitri zakabidhiwa kwa maabusu ya watoto.
Katibu Tawala wa Mkoa Richard Kwitega,akimkabidhi zawadi ya Idd Eil Fitri kwa niaba ya Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania ,afisa ustawi wa jamii wa maabusu ya watoto wadogo cha jijini Arusha bwana Musa Mukamate.
Afisa Ustawi wa Jamii wa maabusu ya watoto,Bwana Musa Mukamate akitoa historia fupi ya kituo hicho kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,Richard Kwitega alipowakabidhi zawadi za Idd Eil Fitri.
Afisa Ustawi wa Jamii wa maabusu ya watoto,Bwana Musa Mukamate akitoa historia fupi ya kituo hicho kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,Richard Kwitega alipowakabidhi zawadi za Idd Eil Fitri.












