RC Akiapishwa
Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mhe. Mrisho Gambo.
Ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania
Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Ofisini kwake, Jijini Arusha.
JPM ,Mrisho Gambo Picha ya Pamoja
Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Samia Suluhu Hassan akiwasili Jijini Arusha
Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe Mrisho Gambo Akimpokea Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Picha ya Pamoja
Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Thursday, November 24, 2016
ZAIRA YA SAMIA SULUHU HASSANI KATIKA KIWANDA CHA MT,MERU MILLERS
By TAARIFA ZA ARUSHA November 24, 2016
Arusha, Elimu, Habari, Maisha, Matukio, Miundombinu, Uchumi No comments
Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya malighafi inayotumika katika kutengenezea mafuta yatokanayo na alizeti katika kiwanda cha Mt. Meru Millers, jijini Arusha. |
Akizungumza baada yakujionea uzalishaji wakiwanda hicho,amesema lengo kubwa ya ziara yake katika kiwanda hicho ilikuwa nikujionea shughuli zinazofanywa na kiwanda hicho.
Pia ameweza kusikiliza changamoto mbalimbali zinazozikabili kiwanda hicho na kubwa ikiwa ni utozwaji wa kadi nyingi na serikali itahakikisha kunakuwa na utaratibu mzuri wa ulipaji wa kodi hizo.
Aidha alisisitiza zaidi kuwa serikali ya awamu wa tano imedhamilia ujenzi wa viwanda vingi nchini ambavyo vitatumia malighafi za ndani ya nchi nakukuza uzalisha kwa wakulima na hata pia kutoa ajira za kutosha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mt. Meru Millers Atul Mittal alisema ikiwa serikali itapunguza kodi hizi nyingi itasaidia ukuwaji wa viwanda vilivyopo na hata kuhamasisha wawekezaji wengine kuwekeza kwenye viwanda hapa nchini.
Makamu wa Rais yupo Mkoa Arusha kikazi kwa mda wa siku 3 ambapo atendelea kutembelea viwanda vya mkoani hapa na pia atazindua jengo la Mahakama ya Afrika.
Makamu wa Rais,Samia Suhulu Hassan akiangalia moja ya kifungashio cha mafuta ya alizeti kilichotengenezwa na kiwanda cha Mt,Meru Millers,Arusha. |
Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wafanyakazi wa kiwanda cha Mt.Meru Millers,jijini Arusha. |
Sunday, November 20, 2016
UMILIKI WA SHAMBA LA MANYARA RANCH KURUDISHWA CHINI YA HALMASHAURI YA MONDULI
Wananchi wa kijiji cha Esilalei wakiwa kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akijibu hoja mbalimbali za wananchi wa Makuyuni alipofanya ziara katika tarafa hiyo iliyopo Wilayani Monduli. |
Wednesday, November 16, 2016
CHAMA CHA WAMILIKI WA MAGARI YA NOAH WAKABIDHI SIMENTI MIFUKO 200
Mkuu wa Mkoa, Mrisho Gambo akipokea mifuko 200 ya simenti kutoka kwa chama cha wa wamiliki wa magari aina ya Noah cha Jijini Arusha. |
Mkuu wa Mkoa, Mrisho Gambo akipokea mifuko 200 ya simenti kutoka kwa chama cha wa wamiliki wa magari aina ya Noah cha Jijini Arusha. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akimkabidhi mifuko 50 ya simenti Mkuu wa Wilaya ya Longido Daniel Chongolo kwaajili ya ujenzi wa kitua cha afya Namanga, Wilayani Longido. |