Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akitoa malekezo kwa viongozi wa mkoa wa Arusha alipokuwa akikagua barabara inayojengwa ya Tengeru mpaka Sakina, jijini Arusha. |
Mhe.Kassim Majaliwa akiwa pamoja na viongozi wa Mkoa wakikagua barabara inayojengwa ya Tengeru mpaka Sakina,Jijini Arusha. |
0 comments:
Post a Comment