Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Daudi Felix Ntibenda,akisaini hati ya makabidhiano ya ofisi,pembeni ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akishuhudia tukio hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akikabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Daudi Felix Ntibenda.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Mashaka Gambo akisaini hati ya makabidhiano ya ofisi aliyoipokea kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda akiaga rasmi kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Arusha (hawapo pichani), pembeni ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
0 comments:
Post a Comment