Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya ndani Kange Lugola alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. |
Waziri wa Mambo ya ndani Kange Lugola akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo. |
Waziri wa Mambo ya ndani Kange Lugola akitia saini katika kitabu cha wageni cha ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. |
Katibu Tawala Msaidizi upande wa Utawala na Rasilimali watu David Lyamongi akisalimiana na Waziri wa mambo ya ndani Kange Lugola alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. |
0 comments:
Post a Comment