Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro, akitoa salama zake baada ya kuapishwa rasmi kama mkuu mpya wa Wilaya hiyo. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimpa mkono wa pongezi Mkuu mpya wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro baada ya kuapishwa katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa. |
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Frank James Mwaisumbe akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, halfa hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa. |
Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank James Mwaisumbe kitoa salama zake baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo. |
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Cornel Muro akila kiapo cha utumishi katika nafasi yake ya ukuu wa wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. |
0 comments:
Post a Comment