Tuesday, October 11, 2016

Mhe.Gambo akagua barabara ya Oljoro mpaka Murieti

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo, akikagua barabara  ya Oljoro mpaka Murieti,inayojengwa kwa kiwango cha lami,katika Jiji la Arusha.

Mratibu wa Mradi wa ujenzi wa barabara, bwana Agustini Mbuya akisoma taarifa fupi ya mradi wa ujenzi wa barabara ya Oljoro mpaka Murieti kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Jijini Arusha.

Mhe.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,akisikiliza malalamiko kutoka kwa wananchi yakufungiwa njia katika mtaa Sokonione,Jijini Arusha.




0 comments:

Post a Comment