Friday, September 2, 2016

Kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swiden yawasili Mkoani Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,akisalimiana na balozi wa Swideni nchini Katarina Rangnitt alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha.Septemba 2,2016.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swideni walioambatana na balozi wa Swideni nchini Katarina Rangnitt (Hayupo pichani) wakiwa katika ofisi ya  Mkuu wa Mkoa Arusha

Mkuu wa Mkoa  wa Arusha Mrisho Gambo, akiwakwenye picha ya pamoja na balozi wa Swiden Katarina Rangnitt (kulia) na wakushoto ni kiongozi wa kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swideni Matilda lrnkarns.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na KatibuTawala wa Mkoa Richard Kwitega wakiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya Bunge ya Mazingira na Kilimo kutoka Swideni,ilipotembelea ofisi za Mkoa  Arusha. 

Kamati hiyo inalengo lakujifunza maeneo mbalimbali yanayofaa kwa uwekezaji hususani kwenye kilimo katika Mkoa wa Arusha.

0 comments:

Post a Comment