Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa ndege wa Kitaifa wa Kilimanjaro(KIA),kwaajiri yakufungua mkutano wa SARPOCCO EXTRA ORDINARY MEETING,utakaofanyika Septemba 16,2016 katika ukumbi wa AICC.
0 comments:
Post a Comment