|
Mkuu wa Mkoa,Mrisho Gambo akifungua mkutano wa mafamasia,uliofanyika katika ukumbi wa Naura,Jiji Arusha. |
|
Rais wa chama cha wafamasia(PST) Michael Kishiwa ,akielezea historia fupi ya chama chao kwa mgeni rasmi,ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo. |
|
Baadhi ya wafamasia waliokuwa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa(hayupo pichani)alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha wafamasia,Jiji Arusha. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wa chama cha wafamasia(PST),Naura Jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment